SAKATA la madawa ya kulevya kusafirishwa nje au kuingizwa nchini na
kuwafikia vijana wanaoharibika kila kukicha, limezidi kuchukua nafasi ya
kipekee baada ya ripoti mpya kabisa kutoka juzi...
Aisha Bui anayedaiwa kufungwa nchini Brazil.
Kwa wiki iliyopita, Ijumaa Wikienda lilipekenyua maeneo yote muhimu
na kukumbana na mambo mapya kuhusu habari za ‘unga’ huku taarifa
zikionesha kuwa,
↧