Mshambuliaji wa nyota wa zamani wa timu ya soka ya Simba na
Taifa, Joseph Kaniki ‘Golota’ na bondia Mkwanda Matumla wanashikiliwa
huku Addis Ababa, Ethiopia wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya.
Kukamatwa kwao kumezidi kuongeza idadi ya
Watanzania maarufu waliotiwa mbaroni nje ya nchi katika siku za karibuni
wakituhimiwa kwa makosa hayo.
Tukio
↧