Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.
Anatoa huduma zote kwangu kifedha kasoro
tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za
mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli...nataka hela zake tu
Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa
me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila
sijui
↧