JALADA la Kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi
(CHADEMA), limefikishwa katika Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali.
Mbilinyi maarufu kwa jina la ‘Sugu’, anadaiwa kumjeruhi askari wa Bunge
katika vurugu zilizotokea Bungeni mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kwa
mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Susan Kaganda alisema
polisi wameshapeleka jalada la mbunge huyo
↧