NAIBU Spika, Job Ndugai ametetea uamuzi wake wa kuagiza kutolewa ndani
ya ukumbi wa Bunge, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe
akisema alikuwa sahihi.
Mabishano hayo ambayo yalisababisha kuibuka kwa vurugu bungeni
yalitokea mwishoni mwa wiki, muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na
majibu, ambapo kiongozi huyo wa Bunge aliruhusu mjadala kuhusu Muswada
wa Marekebisho
↧