AFISA Tarafa ya Kaliua Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Josephat
Brown anatuhumiwa kumbaka mama lishe na kumsababishia maumivu makali na
kisha kutokomea kusikojulikana.
Tukio hilo limetokea Agosti 29 mwaka huu, saa tano usiku nyumbani kwa
afisa tarafa huyo baada ya kumrubuni mama huyo (jina) mwenye miaka (38)
katika baa iitwayo Leaders akitaka ampelekee nyama ya kuku ana wageni.
Kwa
↧