MV Gold Star ikiungua baada ya kuchomwa moto na wasafirishaji wa madawa ya kulevya.
Moshi mkubwa ukitoka katika meli hiyo baada ya wahusika kujitosa majini.MV Gold Star ikipelekwa katika Bandari ya Sicilia.
-NI MV GOLD STAR -WATUHUMIWA WAICHOMA MOTO KUPOTEZA USHAHIDI, WAJITOSA MAJINI -ILIKUWA NA DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA BILIONI 126.5
↧