TASWIRA ya kimataifa ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ambaye katika
siku za hivi karibuni aliibua mzozo wa kidiplomasia na Rais Jakaya
Kikwete, inaonekana kuchukua mwelekeo wa kuchuja badala ya kustawi kwa
namna ilivyokuwa miaka michache tu iliyopita, MTANZANIA Jumapili
limebaini.Baada ya kuvuma kwa zaidi ya muongo mmoja sasa,
Kagame, aliyekuwa akibeba taswira ya mtu shupavu na shujaa,
↧