"Mbowe ni Mjinga na Mpuuzi"...Hii ni kauli ya Kigwangalla bungeni
Mbunge wa Nzega Dr. Kigwangalla, ametumia muda wake karibu wote wa kuchangia Muswada wa Katiba kwa kumshambulia Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Mbowe kuwa ni Mjinga, Mpuuzi, ametia aibu aibu Kigwangalla...
View ArticleProducer akata mzizi wa UNAFIKI kati wa Dayna na Diamond
Baada ya sakata la kuibiana nyimbo lilichokua takribani siku mbili kati ya msanii Diamond Platnum na Dayna Nyange,producer Shedy ameamua kukata mzizi wa fitina kwa kuuanika ukweli wa...
View ArticleRais Kikwete na Kagame wamaliza tofauti zao na kukubaliana kushirikiana kama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 5, 2013, amekutana kwa faragha na Rais wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame katika mazungumzo yaliyokwenda...
View ArticleAibu: Daktari FEKI akamatwa katika hospitali ya KCMC Moshi
Hali ya wasiwasi imejitokeza kwa baadhi ya wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC Moshi Kilimanjaro baada ya uongozi wa hospitali hiyo kumkamata mtu anayejifanya...
View ArticleLinex amwagana na DEMU wake wa Kizungu...kisa ni Pesa na Muziki.
Kilichokua kinafata ni ndoa ambayo ilikua imepangwa na wote wawili baada ya Linex kukamilisha hatua muhimu ambayo ni kumvisha pete mchumba wake anaitwa Suvi raia wa Finland mwezi March 2013. Millardayo...
View ArticlePolisi na Mawaziri wadaiwa kujihusisha na biashara haramu ya NGONO
BAADHI ya mawaziri na polisi wametajwa kuwa ni wateja wakubwa wa wanawake wanaouza miili yao, maarufu kwa jina la Changudoa. Hayo yameelezwa jana na Jukwaa la Wanaharakati Wanawake Vijana (YFF),...
View ArticleWananchi walilaani Bunge la Tanzania kutokana na vurugu zinazoendelea
Baada ya kuibuka mvutano mkali bungeni jana, kati ya Naibu Spika, Job Ndugai na wabunge wa Kambi ya Upinzani, wasomi, wanaharakati, Chama cha Madaktari Tanzania (Mat), Chama cha Walimu Tanzania (CWT)...
View ArticleRipoti maalumu ya gazeti la MWANANCHI kuhusu vurugu zilizotokea jana bungeni
Jana, Bingwa wa Dunia wa uzani wa kati (super middle), unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani (WBF), Francis Cheka alitembelea Bunge baada ya kutwaa taji hilo karibuni na jana hiyohiyo, Bunge...
View ArticleSerikali yasalimu amri na kukubali kulipa mishahara ya wafanyakazi wa TAZARA...
HATIMAYE serikali imesalimu amri na kuamua kuwalipa mishahara ya miezi minne wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) waliogoma wakishinikiza kulipwa stahiki zao. Uamuzi wa...
View ArticleViongozi wa Maziwa Makuu watoa siku tatu kwa M23 na Serikali ya DRC kurejea...
Wapatanishi wa mgogoro wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametoa muda wa siku tatu kwa waasi wa M23 na serikali ya nchi hiyo kurejea kwenye meza ya mazungumzo huko jijini Kampala Uganda. Hayo ni...
View Article"Nileteeni mama zenu nilale nao ili nithibitishe kama ninyi ni...
BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Charles Kanumba ametoa ofa kwa wanawake wanaohitaji kuzaa watoto kama marehemu mwanaye wamuone ili awape uzao wake. Akipiga stori na...
View Article"Tumewataka Kenya, Uganda, Rwanda watueleze walichozungumza kwa...
Serikali imeziomba nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuipa taarifa ya mikutano waliyoifanya bila ya kuishirikisha hivi karibuni. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe...
View ArticleSakata la mwanafunzi wa KIDATO CHA NNE aliyezalishwa na msanii DIAMOND
MREMBO aliyetimuliwa shule akiwa kidato cha nne baada ya kutundikwa mimba, Sasha Juma ameibuka na madai kuwa amezaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. MCHEZO MZIMA Habari kutoka...
View Article"Namshukuru mungu kwa kuwa sina UKIMWI"...RAY C
Mwanadada anayejipanga kurejea kwenye gemu la Bongo Fleva kwa kishindo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amefunguka ya moyoni tena akisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kupona madhara ya madawa ya kulevya bila...
View ArticlePicha za UTUPU za wanafunzi wakinyonyana maziwa zanaswa
<!-- adsense --> Picha chafu za wanafunzi wa sekondary moja maarufu zimenaswa na mpekuzi wetu zikipaa toka mtandao mmoja kwenda mwingine.... Katika picha hizo, wanafunzi...
View ArticleMengi amchana Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo kupitia Twitter
Mkurugenzi wa IPP, Bw Reginald Mengi amemtolea uvivu waziri wa Nishati na Madini, Mh Sospeter Muhongo, na kuweza wazi hisia zake kuhusu waziri huyo kwa kupitia mtandao wa Twitter. Mzee Mengi ameandika:...
View ArticleMama aumbuka baada ya NZI kujazana katika MAKALIO yake wakati akielekea sokoni
Mama mmoja amejikuta akiambulia AIBU ya mwaka baada ya NZI kujazana katika makalio yake.. Mama huyo ambaye mpekuzi wetu hakuweza kumtambua jina, alikumbwa na aibu hiyo hivi...
View Article"Baba nilikuona USIKU ukiwa UCHI, nikajifanya nimelala, baadae nikamsikia...
Haya ndo madhara ya kulala na watoto chumba kimoja... Huyu ni binti wa miaka 2 ( makadirio) ambaye ameamua kuwaumbua wazazi wake kwa matendo yao ya usiku ambayo amekuwa...
View ArticleWanafunzi walipukiwa na bomu mkoani Morogoro
Taarifa kwa mujibu wa ITV — Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Matombo katika wilaya ya Morogoro wamejeruhiwa, baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu,...
View ArticleDunia yamgeuka Rais Paul Kagame...
TASWIRA ya kimataifa ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mzozo wa kidiplomasia na Rais Jakaya Kikwete, inaonekana kuchukua mwelekeo wa kuchuja badala ya...
View Article