Mkurugenzi wa IPP, Bw Reginald Mengi amemtolea uvivu waziri wa Nishati
na Madini, Mh Sospeter Muhongo, na kuweza wazi hisia zake kuhusu waziri
huyo kwa kupitia mtandao wa Twitter. Mzee Mengi ameandika:
Mh Muhongo asambaza taarifa za uongo juu yangu kuhusu vitalu vya madini. Ni kufilisika kifikra. Asipoteze lengo. Ajibu hoja ya gesi
— Reginald Mengi (@regmengi) September 6, 2013
Mh
↧