Baada ya sakata la kuibiana nyimbo lilichokua takribani siku mbili kati ya msanii Diamond Platnum na Dayna Nyange,producer Shedy ameamua kukata mzizi wa fitina kwa kuuanika ukweli wa mambo....
Akiongea na #Team tizniz,Shedy amefunguka kama ifuatavyo:
“Beat hii nilitengeneza
mimi kwa idea zangu mwenyewe. Alikuja Dayna akaupenda ule mdundo na
mimi sikumnyima , akafanya demo
↧