Serikali imeziomba nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuipa taarifa ya mikutano waliyoifanya bila ya kuishirikisha hivi karibuni.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Bernard Membe akizungumzia na waandishi wa habari ofisini
kwake jana alisema wameziomba nchi hizo kuitaarifu kile walichokijadili.
Alisema kwakuwa nchi hizo ni miongoni mwa
↧