BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, Steven Kanumba,
Charles Kanumba ametoa ofa kwa wanawake wanaohitaji kuzaa watoto kama
marehemu mwanaye wamuone ili awape uzao wake.
Akipiga stori na mwandishi wetu, baba Kanumba alisema amefikia hatua
hiyo kutokana na usumbufu anaoupata kwani tangu Kanumba alipofariki
dunia wamejitokeza mabinti watano wakidai kuwa ni watoto wake wakati si
↧