Wapatanishi
wa mgogoro wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametoa muda wa siku
tatu kwa waasi wa M23 na serikali ya nchi hiyo kurejea kwenye meza ya
mazungumzo huko jijini Kampala Uganda.
Hayo ni baada ya kikao cha viongozi wa kanda ya maziwa makuu kiliyofanyika juzi huko kampala Uganda.
Kiongozi wa kundi la M23 Bertrand Bisimwa amesema wao wapo
tayari kwa mazungumzo na
↧