Mwanadada anayejipanga kurejea kwenye gemu la Bongo Fleva kwa
kishindo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amefunguka ya moyoni tena akisema kuwa
anamshukuru Mungu kwa kupona madhara ya madawa ya kulevya bila kupata
matatizo mengine ya kiafya huku akifafanua suala la kuokoka.
Mwanamuziki
huyo alisema kuwa katika kipindi chote cha kupigana na madawa ya
kulevya zaidi ya miaka mitatu iliyopita,
↧