BAADHI ya mawaziri na polisi wametajwa kuwa ni wateja wakubwa wa wanawake wanaouza miili yao, maarufu kwa jina la Changudoa.
Hayo yameelezwa jana na Jukwaa la Wanaharakati Wanawake Vijana (YFF),
walipokuwa wakiwasilisha ujumbe wao kwa njia ya sanaa ya ngonjera,
katika tamasha la 11 la Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) linaloendelea
eneo la Mabibo jijini Dar es Salam.
Wanaharakati hao
↧