Baada ya kuibuka mvutano mkali bungeni jana, kati ya Naibu
Spika, Job Ndugai na wabunge wa Kambi ya Upinzani, wasomi, wanaharakati,
Chama cha Madaktari Tanzania (Mat), Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), vimesema
kinachoendelea sasa ndani ya Bunge ni masilahi ya vyama vya siasa siyo
taifa.
Walitoa
↧