Kilichokua kinafata ni ndoa ambayo ilikua
imepangwa na wote wawili baada ya Linex kukamilisha hatua muhimu ambayo
ni kumvisha pete mchumba wake anaitwa Suvi raia wa Finland mwezi March
2013.
Millardayo amepata nafasi ya kuzungumza na Linex
kwenye
exclusive interview ambayo amekiri ni kweli imebidi kila mmoja aendelee
na maisha yake na mapenzi yao kuisha kwa sababu kadhaa
↧