Picha za maelfu ya wananchi waliojitokeza kuuaga mwili wa askofu Kulola...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akiongoza wanachi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Askofu wa EAGT Moses, Kulola Mchungaji Kadani Limbu ambaye ni Katibu wa Kanisa la EAGT Makao...
View ArticleJWTZ lasitisha likizo....Hali ya utayari wa Kijeshi ( Military readiness)...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesitisha wapiganaji wake kwenda likizo na kuwaita waliokuwa likizo kurudi makambini. Kwa mujibu wa vyanzo vya ndani kabisa vya kiinteligensia vijulikanavyo kama...
View ArticleShoga lafumaniwa na mkewe "likiliwa jicho" ( likiliwa tigo)
Kuna kitu ningependa niwashirikisha marafiki wa ukurasa huu ingawa ni aibu lakini ni vyema pia na akina dada wenzangu na hata vijana wa kiume wajifunze kutoka kwangu. Mimi ni binti wa miaka 30 na...
View ArticleMwanamke akamatwa na madawa ya kulevya katika uwanja wetu wa ndege mchana huu
Mama mmoja wa kinigeria amekamatwa na madawa ya kulevya mchana huu katika uwanja wa ndege wa JNIA akijaribu "kum-bypass " Dr.Mwakyembe. Mwana mama huyo aliyetambuliwa kwa jina la...
View ArticleUzalendo wamshinda DJCHOKA na kujikuta akikata MAUNO hadharani
Video mpya ya msanii Diamond imeendelea kufanya vizuri kwa kuwakuna watu wa rika mbalimbali ambao uzalendo umekuwa ukiwashinda na kujikuta wakimwaga "radhi" ili kukata kiu...
View ArticlePicha 15 za mazishi ya askofu Kulola yaliyoongozwa na Rais Kikwete jijini...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha waombolezaji wakati wa mazishi ya Askofu Moses Kulola leo. Mtoto wa Marehemu Askofu Kulola, Willy Moses Kulola (kushoto) akiwa amesimama nyuma ya jenza...
View ArticlePicha 12 za mama wa kinigeria aliyekamatwa na madawa ya kulevya katika uwanja...
Jitihada za kurejesha heshima kwa viwanja vya ndege nchini zilizoanzishwa na waziri wa uchukuzu Dk. Harisson Mwakyembe zinaonekana kuzaa matunda baada ya mwanadada kutoka nchini Nigeria Anthonia Ojo...
View ArticleHali ya msanii Banza Stone ni mbaya
NGULI wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ameanza kuugua tena ambapo tangu Sikukuu ya Iddi hadi sasa yupo hoi kitandani. Akizungumza kwa huzuni na mwandishi wetu, Banza alisema...
View ArticleMapenzi yamponza Aunt Ezekiel....Mkono uliopigwa chupa waanza kuoza
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ yupo hatarini kukatwa mkono kutokana na jeraha la chupa alilolipata hivi karibuni. Tukio la Aunt kupigwa chupa na mwanamke aliyetajwa kwa jina...
View ArticleRais Kikwete na Paul Kagame wakutanishwa na Rais wa Uganda
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameitisha mkutano wa dharura wa marais wa nchi za Maziwa Makuu (ICGLR), kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Rais Jakaya Kikwete ni...
View ArticleNdugu wa bilionea aliyeuawa Arusha wazimia mahakamani baada ya kesi hiyo ku.....
Ndugu wa mfanyabiashara Erasto Msuya (43)aliyeuawa kwa kupigwa risasi Agosti 7, mwaka huu, wameangua kilio na kuzimia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, Kilimanjaro baada ya mahakama...
View ArticleKesi ya waziri mkuu Mizengo Pinda kutajwa septemba 16 mwaka huu...DPP adai...
KESI ya kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutokana na kauli yake ya kuruhusu wanaokaidi maagizo ya Dola wapigwe, itatajwa Septemba 16 mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar...
View ArticleHatimaye mshindi wa Big Brother afanikiwa kumpata baba yake ( Ni yuleyule...
Hatimaye teknolojia imefanikisha kuwakutanisha wazazi wa mshindi wa Big Brother Afrika ‘The Chase’ Dillish Mathews baada ya mwanaume mmoja aitwaye Abdi Galgayo Guyo kuja hadharani na kudai kuwa ni baba...
View ArticleVideo ya ngono ya wabongo yavuja.....Ni siku chache baada ya ile ya Mrisho...
Baada ya video ya ngono ya Mrisho Ngasa kuvuja na kusambaa kwa kasi, video nyingine ya wabongo imevuja wakifanya uchafu wao huku wakijirekodi..... <<VIDEO IKO HAPA, BOFYA...
View ArticleBreaking news: Freeman Mbowe atimuliwa bungeni
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe ametolewa nje ya Bunge, baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo. Mh ngudai aliamuru askari...
View ArticleMwanafunzi wa darasa la pili huko PWANI abakwa na wanafunzi wenzake wanne na...
MATUKIO ya uvunjifu wa maadili kwenye shule mbalimbali hapa nchini yameendelea kushamiri baada ya wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Lulanzi wilayani Kibaha mkoani Pwani kutuhumiwa kumbaka mwanafunzi...
View ArticlePicha tano za Rais Kikwete alipokutana na Kagame wa Rwanda huko Uganda
Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda. Haijafahamika mara moja...
View ArticleVideo ya wabunge wa Upinzani wakitoka NJE ya Bunge baada ya Freeman Mbowe...
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe alitolewa nje ya Bunge leo mchana baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo. Mh ngudai...
View ArticleWabunge wa UPINZANI nchini Kenya nao WASUSA na kutoka nje
Baadhi ya wabunge wa upinzani nchini Kenya wameondoka bungeni wakati mjadala mkali ukiendelea kuhusu kuunga mkono au kupinga nchi hiyo kujiondoa kutoka katika mahakama ya kimataifa ya ICC. Wabunge...
View ArticleMheshimiwa SUGU anasakwa na polisi kwa kosa la kuwakashifu walinzi wa Bunge
Taarifa kutoka Dodoma zinadai kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa walinzi wa Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu... Baada ya kufungua...
View Article