Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Picha tano za Rais Kikwete alipokutana na Kagame wa Rwanda huko Uganda

Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda. Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao. Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota. <!-- adsense -->Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>