NGULI wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ameanza
kuugua tena ambapo tangu Sikukuu ya Iddi hadi sasa yupo hoi kitandani.
Akizungumza
kwa huzuni na mwandishi wetu, Banza alisema alipomaliza shoo ya Sikukuu
ya Iddi na Bendi ya Extra Bongo, alianza kuugua, akaenda Hospitali ya
Yemen iliyopo Sinza, Dar ikagundulika ana malaria kali ambapo alipewa
dozi ya siku saba.
“
↧