Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson
‘Gwantwa’ yupo hatarini kukatwa mkono kutokana na jeraha la chupa
alilolipata hivi karibuni.
Tukio la Aunt kupigwa chupa na mwanamke
aliyetajwa kwa jina moja la Yvonne nje ya Club Bilicanas, Posta jijini
Dar, lilitokea Agosti 26, mwaka huu wakati staa huyo alipokwenda
kujiachia na mshosti zake.
Baada ya kupigwa chupa siku hiyo, Aunt
↧