Jitihada za kurejesha heshima kwa viwanja vya ndege nchini
zilizoanzishwa na waziri wa uchukuzu Dk. Harisson Mwakyembe zinaonekana
kuzaa matunda baada ya mwanadada kutoka nchini Nigeria Anthonia Ojo
(25) kukamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya dar es salaam leo.
Mwanamke huyo amekamatwa akieleke Roma Italia kupitia Paris Ufaransa
kwa ndege ya Ethiopian Airways na aliingia
↧