Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesitisha wapiganaji wake
kwenda likizo na kuwaita waliokuwa likizo kurudi makambini. Kwa mujibu
wa vyanzo vya ndani kabisa vya kiinteligensia vijulikanavyo kama
‘KAINZI’, uamuzi huo umeenda sambamba na kuweka hali ya utayari wa
kijeshi (military readiness) kufikia asilimia 50 ( katika hali ya utulivu
na amani nchini hali ya utayari wa kijeshi
↧