Kuna kitu ningependa niwashirikisha
marafiki wa ukurasa huu ingawa ni aibu lakini ni vyema pia na akina dada
wenzangu na hata vijana wa kiume wajifunze kutoka kwangu.
Mimi ni binti wa miaka 30 na nimebahatika kupata watoto wawili wakiume na wakike na namshukuru muumba kwani wana afya tele.
Niliolewa miaka 5 iliyopita na kijana mmoja ambaye tulikuwa wapenzi kwa takribani miaka sita na
↧