Ndugu wa mfanyabiashara Erasto Msuya (43)aliyeuawa kwa kupigwa
risasi Agosti 7, mwaka huu, wameangua kilio na kuzimia katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi mjini Moshi, Kilimanjaro baada ya mahakama kuhairisha usikilizaji
wa kesi hiyo.
Ndugu hao ni dada wa marehemu, Antuja Msuya na Bahati Msuya ambao katika tukio hilo, wote walipoteza fahamu.
↧