LADY JAYDEE, AFANDE SELE, MKOLONI NA JB WAKIMBILIA CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea kuwavuta wasanii kujiunga na chama hicho, ambapo sasa wasanii wanne wa muziki wa kizazi kipya, maarufu Bongofleva na filamu, wanatarajiwa...
View ArticleMWANAUME ANYWESHWA VIROBA NA "KULIWA JICHO" ( KABAANG) BAADA YA KULEWA
JESHI la Polisi mkoani Singida linamtafuta kijana mmoja mkazi wa Kibaoni katika manispaa hiyo kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake na kumharibu vibaya sehemu za haja kubwa baada ya kumnunulia pombe kali...
View ArticleHII NDO VIDEO MPYA YA DIAMOND..." MY NUMBER ONE"
Diamond Platnumz - Number One (Official Music Video) <!-- adsense -->
View ArticleCHADEMA WAMKANA AFANDE SELE....WADAI HAWAJAWAHI MUOMBA AGOMBEE UBUNGE MOROGORO
Gazeti la Habari Leo la siku ya leo tarehe 2 Septemba lenye kichwa cha habari "Chadema kuzoa wasanii mastaa" pamoja na mambo mengine, mwandishi amemnukuu mmoja wa wasanii toka mkoa wa Morogoro akisema...
View ArticleGEORGE BUSH ATANGAZA KIFO CHA MANDELA WAKATI HAJAFA
Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush amejikuta ‘akiingia chaka’ kwa kutangaza ‘kifo’ cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela ambaye bado yuko hai. Kosa hilo limetokea jana asubuhi...
View ArticleRWANDA YAPANDISHA USHURU WA MAGARI YA MIZIGO YANAYOTOKA TANZANIA
RWANDA imeamua ‘kucheza rafu’ kwa kuanza kuhujumu Bandari ya Dar es Salaam, kwa kupandisha ushuru wa barabara kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania pekee kuanzia Rusumo hadi Kigali, kutoka dola za...
View ArticleMASANJA MKANDAMIZAJI AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUSINGIZIWA KUWA ANAUZA BANGI
<!-- adsense --> Jana zilisambaa habari kwamba masanja mkandamizaji na msanii Diamond wamedakwa na polisi na possport zao za kusafiria zimezuiwa.... Taarifa hizo zimemfanya...
View ArticleKASHFA YALIKUMBA JESHI LA POLISI TENA-CCTV ZAZIMWA KURUHUSU UJAMBAZI
SIKU chache baada ya tukio la wizi mkubwa wa fedha katika Benki ya Habibu mjini Dar es Salaam, siri nzito zimeanza kuvuja kuwa polisi wanadaiwa kuhusika katika tukio hilo kwa kuhujumu kamera za usalama...
View ArticleMWANAMKE ANASWA NA SARE ZA JWTZ
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Saida Mohamed (30), mkazi wa Mwasonga Kigamboni, akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). Akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticleBaada ya mshindi wa Big Brother kutangaza kuwa hamjui baba yake, Mkenya...
Wiki iliyopita wakati mshindi wa $ 300,000 za Big Brother The Chase Dillish Mathews kutoka Namibia akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa Namibia, alisema anahamu ya kukutana na baba yake mzazi ambaye...
View ArticleU.N yawataka waasi wa M23 wasalimishe silaha zao haraka
Umoja wa Mataifa, UN umewataka waasi wa kundi la M23 kuweka silaha chini ili kumaliza mapambano yanayofanyika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuleta athari mbaya kwa wananchi. Umoja...
View ArticleMaiti yafukuliwa na kutupwa nje ya mgahawa jijini Mwanza
Jeneza la mwili wa mtoto ambalo lilikutwa limetelekezwa mbele ya mlango wa mgahawa wa Ester. --- JENEZA lenye mwili wa mtoto mchanga, limezua taharuki kwa wananchi na wakazi wa Mtaa wa Ihago, Kata ya...
View ArticleKisa cha aunt Ezekiel kupigwa chupa ni penzi la Jeff linalogombaniwa na warembo
Siri ya Aunt Ezekiel kupigwa chupa club na kujeruhiwa mkono wake imefichuka.Habari za uhakika zinadai kwamba Aunt alipigwa chumba na mrembo wa kike katika harakati za kugombea...
View ArticleRwanda yanywea..Malori yaruhusiwa kupita kwa tozo ya zamani
Naibu Waziri wa Uchukuzi Dk. Tzeba amethibitisha kuwa Serikali ya Rwanda imeruhusu malori ya Tanzania yaendelee na safari kwa kulipa dola 152 badala ya 500 zilizoanza kutozwa hapo jana. Akiongea...
View ArticleSerikali yajibu mapigo kwa mtandao wa Kenya ulioanza kuichokonoa Tanzania
Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari- (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mtandao wa kijamii wa nchini Kenya ulioituhumu...
View ArticleAfisa utumishi wa manispaa ya Ilemela afikishwa mahakamani kwa rushwa ya ngono
Afisa utumishi wa manispaa ya Ilemela ndugu Songoma leo amefikishwa mahakamani akikabiliwa na kesi ya rushwa ya ngono kwa mwalimu aliyekuwa akiomba kuhamishwa toka Ngudu kuja...
View ArticleJWTZ yakamata wanajeshi wanne wa Rwanda waliokuwa Kongo
ASKARI wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini Kongo (Monusco), wakiongozwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamedai kuwakamata maofisa wanne wa jeshi la Rwanda, katika mapigano ya...
View ArticleMke anayenyonyesha mtoto wa miezi miwili afumaniwa gesti akisaliti ndoa yake
Usiku wa kuamkia juzi ulikuwa mbaya kwa mke wa mtu, Rukia Issa au mama Sabrina baada ya mumewe, Shukuru Nia kumfumania gesti na mwanamme mwingine huku yeye akiwa na kichanga cha miezi miwili na nusu.....
View Article" Siri ya ushindi wa Francis Cheka dhidi ya mmarekani ilikuwa ni tendo la...
SIRI ya ushindi alioupata bondia maarufu nchini, Francis Cheka ‘SMG’ dhidi ya Mmarekani Phil Williams imefichuka baada ya mke wa bondia huyo kutoka Morogoro, Tosha Azenga kutoa la moyoni. Akizungumza...
View ArticleDillish amkana mwanaume wa Kenya aliyedai kuwa ni baba yake mzazi
Baada ya mwanaume mkenya Abdi Galgayo Guyo aliyejitokeza juzi katika ofisi za Standard Media Kenya na kudai kuwa ndiye baba mzazi wa mshindi wa BBA The Chase Dillish Mathews kutoka Namibia, Dillish...
View Article