Gazeti
la Habari Leo la siku ya leo tarehe 2 Septemba lenye kichwa cha habari
"Chadema kuzoa wasanii mastaa" pamoja na mambo mengine, mwandishi
amemnukuu mmoja wa wasanii toka mkoa wa Morogoro akisema amewahi kuombwa
na viongozi wa mkoa wa CHADEMA kugombea Ubunge. NAOMBA KUWEKA KUMBUKUMBU SAHIHI. 1. Mimi ndiye mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Morogoro, ninayeongoza Baraza la Uongoz la mkoa
↧