Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush amejikuta ‘akiingia chaka’
kwa kutangaza ‘kifo’ cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela
ambaye bado yuko hai.
Kosa hilo limetokea jana asubuhi (September 1) kwa bahati mbaya baada
ya msemaji wa rais huyo wa 41 wa Marekani kujichanganya kwa kutosoma
vizuri habari inayomhusu Mandela kupitia Washington Post hivyo kumfanya
Bush
↧