RWANDA imeamua ‘kucheza rafu’ kwa kuanza kuhujumu Bandari ya Dar es Salaam, kwa kupandisha ushuru wa barabara kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania pekee kuanzia Rusumo hadi Kigali, kutoka dola za Marekani 152 za awali, hadi 500.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka ndani ya kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichomalizika hivi karibuni Arusha, ushuru huo
↧