<!-- adsense -->
Jana zilisambaa habari kwamba masanja mkandamizaji na msanii Diamond wamedakwa na polisi na possport zao za kusafiria zimezuiwa....
Taarifa hizo zimemfanya Masanja afunguke na kudai kwamba habari hizo si za kweli, ni habari zenye lengo la kumchafulia jina.
Masanja ameenda mbali zaidi na kudai kwamba yeye ni mtumishi wa mungu,
↧