SIKU chache baada ya tukio la wizi mkubwa wa fedha katika Benki ya
Habibu mjini Dar es Salaam, siri nzito zimeanza kuvuja kuwa polisi
wanadaiwa kuhusika katika tukio hilo kwa kuhujumu kamera za usalama za
CCTV zinazomilikiwa na jeshi hilo.
Katika tukio hilo, watu wanaodaiwa
kuwa majambazi walipora dola za Marekani 20,000 ambazo ni sawa na Sh
milioni 32 za Tanzania.
Katika tukio
↧