JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Saida Mohamed
(30), mkazi wa Mwasonga Kigamboni, akiwa na sare za Jeshi la Wananchi
Tanzania (JWTZ).
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana,
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleimani Kova,
alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa Agosti 31, mwaka huu, katika eneo la
Mwasonga, Kigamboni.
Alisema
↧