Wiki iliyopita wakati mshindi wa $ 300,000 za Big Brother The Chase
Dillish Mathews kutoka Namibia akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa
Namibia, alisema anahamu ya kukutana na baba yake mzazi ambaye
hawajawahi kuonana.
Dillish Mathews & Abdi Guyo
Baada ya siku chache kupita hatimaye jana (September 2)
↧