ASKARI wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini Kongo (Monusco),
wakiongozwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamedai
kuwakamata maofisa wanne wa jeshi la Rwanda, katika mapigano ya wiki
iliyopita nchini Kongo.Akizungumza na MTANZANIA Jumatano kwa
sharti la kutotajwa jina, mmoja wa askari aliyepo ndani ya kikosi cha
JWTZ huko nchini Kongo, alisema maofisa hao
↧