Afisa utumishi wa manispaa ya Ilemela ndugu Songoma leo amefikishwa mahakamani akikabiliwa na kesi ya rushwa ya ngono kwa mwalimu aliyekuwa akiomba kuhamishwa toka Ngudu kuja Mwanza.
Akisomewa shitaka lake mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya Mwanza, ofisa wa TAKUKURU Bi. Debora amedai kuwa Songoma alitenda kosa hilo may tano mwaka jana
↧