Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari- (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mtandao wa kijamii wa nchini Kenya ulioituhumu Serikali ya Tanzania.
--------------
Na Fatma Salum-MAELEZO
SERIKALI ya
Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu tuhuma mbalimbali dhidi yake
zilizotolewa na mtandao wa kijamii wa nchini Kenya
↧