Usiku wa
kuamkia juzi ulikuwa mbaya kwa mke wa mtu, Rukia Issa au mama Sabrina
baada ya mumewe, Shukuru Nia kumfumania gesti na mwanamme mwingine huku
yeye akiwa na kichanga cha miezi miwili na nusu..
Rukia ambaye ni mkazi wa Goba, Wilaya ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam alifumaniwa katika gesti moja (jina
tunalo) iliyopo Mbagala, Dar akiwa na mwanamme aliyefahamika kwa jina la
Ally
↧