SIRI ya ushindi alioupata bondia maarufu nchini, Francis Cheka ‘SMG’
dhidi ya Mmarekani Phil Williams imefichuka baada ya mke wa bondia huyo
kutoka Morogoro, Tosha Azenga kutoa la moyoni.
Akizungumza katika mapokezi ya mumewe mwishoni mwa wiki iliyopita
alipowasili mkoani hapa, Tosha alisema mumewe amekuwa akifanya vizuri
kutokana na ukweli kwamba kila anapokaribia pambano huwa
↧