Baada ya mwanaume mkenya Abdi Galgayo
Guyo aliyejitokeza juzi katika ofisi za Standard Media Kenya na kudai
kuwa ndiye baba mzazi wa mshindi wa BBA The Chase Dillish Mathews kutoka
Namibia, Dillish amemkana na kusema baba yake ana asili ya Somalia.
Mashabiki mbalimbali wamemuuliza Dillish
kuhusu Guyo kupitia twitter, lakini Dillish ambaye ameonesha
kushangazwa na habari hizo, jana
↧