WAASI WA M23 WAMUUA MWANAJESHI WETU WA JWTZ HUKO KONGO
TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUFARIKI KWA AFISA WA JWTZ KATIKA JUKUMU LA KULINDA AMANI - DRC, GOMA 1. Kama mnavyofahamu, JWTZ linashiriki katika operesheni za Umoja wa Mataifa huko Goma DRC. Kikosi chetu...
View Article"SINA MPANGO WA KUACHANA NA DIAMOND NA SIJAONA MWANAUME KAMA YEYE"....PENNY
Baada ya hivi karibuni kuandikwa habari iliyoeleza kwamba nchini Kenya kuna demu aliyemzimikia ile mbaya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akiahidi kumpa penzi zito, mpenzi wa msanii huyo Peniel...
View ArticleRAIS KIKWETE AMUOMBA RAIS WA UGANDA AONGEE NA KAGAME ILI KUMALIZA UGOMVI ULIPO
RAIS Jakaya Kikwete, amewasiliana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ili azungumze na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa nia ya kumaliza mvutano wa maneno kati yao kwa busara. Waziri Mkuu, Mizengo...
View ArticleALIYEMPIGA CHUPA AUNT EZEKIEL NDIYE ALIYEMCHANA LULU VIWEMBE
Mtuhumiwa aliyempiga chupa mwigizaji Aunt Ezekiel Jumapili iliyopita nje ya Ukumbi wa Bilicanas ndiye aliyewahi kumchana viwembe mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwaka 2011. Kumbukumbu zinaonesha...
View ArticleDIAMOND ATOA ZAWADI YA GARI KWA MZEE GURUMO
Msanii mkongwe wa muziki wa dansi, Muhidin Gurumo akijaribu gari dogo alilokabidhiwa na mwanamuziki wa bongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond ‘ kutokana na kutambua mchango wake baada ya kustaafu kazi ya...
View ArticleJESHI LETU LA JWTZ NA MONUSCO LAFANIKIWA KUITEKA NGOME KUU YA WAASI WA M23
ASKARI wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini DR Congo (MUNUSCO), wakiongozwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) vimefanya shambulizi la nguvu katika eneo la Kibati (Nyirangongo...
View ArticleWAASI WA M23 WAANZA KUSALIMU AMRI BAADA YA KUPEWA KICHAPO KIKALI NA JWTZ (...
Waasi wa M23 Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema kuwa watasitisha mapigano, kufuatia makabiliano makali na wanajeshi wa serikali wanaoungwa mkono na wanajeshi wa Umoja wa Mataifa...
View ArticleWABUNGE WATAKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU ZIFUTWE
MBIO za Mwenge wa Uhuru nusura ziahirishe shughuli za Bunge baada ya baadhi ya wabunge kutaka zifutwe na hoja hiyo ijadiliwe bungeni. Hata hivyo, suala hilo liligeuka shubiri kwa Waziri wa Nchi,...
View ArticleDIAMOND NA LINAH WANASWA WAKITOMASANA HADHARANI
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa na msanii mwenzake, Esterlina Sanga ‘Linah’ wakiwa kwenye mapozi ya kimahaba ambayo yametafsiriwa vibaya. Katika tukio hilo lililojiri juzikati...
View ArticlePICHA ZA UZINDUZI WA "FOOLISH AGE" YA LULU MICHAEL
MSANII wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu', usiku wa kuamkia leo amefanikisha zoezi la uzinduzi wa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Foolish Age . Baada ya move hiyo kali ya...
View ArticleNANDO AKAMATWA BAADA YA KUIBA CAMERA MOJA YA BIG BROTHER....
Nando ameendelea kuitia aibu Tanzania baada ya kukumbwa na kashfa mpya ya wizi wa kamera ndani ya jumba la big brother. Wizi huo unadaiwa kutendeka baada ya Nando kualikwa...
View ArticlePICHA YA MWANAUME ALIYEGEUZWA KUWA MWANAMKE BAADA YA KUZINI NA MKE WA MTU
<!-- adsense --> Mwanaume mmoja nchini Kenya amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya uume wake kubadilishwa kuwa uke.... Mwanaume huyo anadaiwa kufanyiwa mchezo huo baada...
View ArticlePICHA ZA UCHI ZA PENDO ZAANIKWA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI
<!-- adsense --> Picha za uchi za mrembo Pendo zimeanikwa hadharani na mmiliki wa club maarufu ya Westland baada ya binti huyo kushindwa kulipa deni lake..... Taarifa...
View ArticleRWANDA YAPELEKA WANAJESHI 1700 KUWASAIDIA WAASI WA M23 BAADA YA KUELEMEWA NA...
KIKUNDI cha waasi cha M23 kinachopambana na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kimeripotiwa kupigwa vibaya na kutikisa nguvu za kikundi hicho kutokana na baadhi ya wapiganaji wake...
View ArticleMWANAMKE ABAKWA NA KUCHOMEKWA KISU SEHEMU ZA SIRI.
Ukatili dhidi ya wanawake umeendelea kushika kasi ya ajabu katika bara la Afrika..... Ukatili huo unajidhirisha baada ya ongezeko kubwa la matukio ya ubakaji yanayoambatana na...
View ArticleDIAMOND ATUHUMIWA KUIBA WIMBO WA DYNA..."MY NUMBER ONE"
Baada ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba na Pasha,Msanii Naseeb Abdul Diamond Platnum, ameingia tena ndani ya tuhuma nzito baada ya madai kwamba wimbo anaotaka kuuachia wa No.1 ni wa Dayna....
View ArticleKINGUNGE AMSHANGAA KAGAME
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amejitosa katika mgogoro wa kidiplomasia uliopo kati ya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Akizungumza na MTANZANIA Jumatatu...
View ArticleMWILI WA ASKARI WETU ALIYEUAWA NA WAASI WA M23 UMEAGWA JANA ZANZIBAR
Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, aliyefarika Nchini Congo, akiwa katika Jeshi la Kulinda Amani. Ndege iliobeba Mwili wa Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa...
View ArticleNELSON MANDELA ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI
RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela (95), jana aliondolewa hospitali na kurejeshwa nyumbani ambako ataendelea na matibabu ya maradhi ya mapafu. Hata hivyo, taarifa ya Serikali ya Afrika...
View ArticleJWTZ YASIMULIA JINSI ASKARI WETU ALIVYOUAWA NA WAASI WA M23
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeleezea namna mwanajeshi wake, Meja Khatibu Shaaban Mshindo, alivyouawa baada ya kuangukiwa na bomu, wakati akiwa katika jukumu la ulinzi wa amani...
View Article