Mtuhumiwa aliyempiga chupa mwigizaji Aunt Ezekiel Jumapili iliyopita nje
ya Ukumbi wa Bilicanas ndiye aliyewahi kumchana viwembe mwigizaji
Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwaka 2011.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa, mwaka 2011 Lulu alivamiwa na wadada wa
mjini baada ya kunaswa katika pozi tata na mwanaume wa watu maeneo ya
Kariakoo, jijini Dar. Alipoulizwa juu ya sakata hilo, Lulu alitiririka
hivi:
↧