RAIS Jakaya Kikwete, amewasiliana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni,
ili azungumze na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa nia ya kumaliza
mvutano wa maneno kati yao kwa busara.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema hayo jana bungeni, alipokuwa
akijibu swali la Kiongozi wa Upinzani bungeni, Mbunge wa Hai, Freeman
Mbowe (Chadema).
“Tunataka suala hili limalizike kwa njia ya busara, ili
↧