Baada ya hivi karibuni kuandikwa habari iliyoeleza kwamba nchini Kenya
kuna demu aliyemzimikia ile mbaya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’
huku akiahidi kumpa penzi zito, mpenzi wa msanii huyo Peniel Mwingilwa
‘Penny’ ameibuka na kudai hatishwi na maneno hayo.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Penny ambaye sasa anapika na
kupakuwa kwa Diamond alisema anamuamini sana mpenzi
↧