TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUFARIKI KWA AFISA WA JWTZ KATIKA JUKUMU LA KULINDA AMANI - DRC, GOMA
1. Kama mnavyofahamu, JWTZ linashiriki katika operesheni za Umoja wa
Mataifa huko Goma DRC. Kikosi chetu kimeendelea kutekeleza majukumu yake
ya kulinda amani kama kinavyopangiwa na Jeshi la Umoja wa Mataifa
nchini DRC lijulikanalo kama MONUSCO.
2. Tarehe 28 Agosti 2013 wanajeshi wetu wakiwa
↧