$ 0 0 Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za bongo fleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Ray C amethibitisha hayo katika post zake za instagram.