MAZITO tena yameibuka kuhusu yule
trafiki feki James Hussein, mkazi wa Kimara Matangini, jijini Dar es
Salaam ambaye yuko Gereza la Segerea, Dar akikabiliwa na kesi ya
kujifanya askari wa usalama barabarani.Habari za ndani kutoka
Gereza la Isanga, Dodoma zinadai kuwa, trafiki huyo ana mambo mengi ya
kushangaza ambayo Watanzania wengi hawayajui.Mtoa habari wetu alisema kuwa, James
↧