SERIKALI YARUHUSU TENA MIHADHARA YA DINI ILIYOKUWA IMEPIGWA MARUFUKU.
MIHADHARA ya dini iliyokuwa imepigwa marufuku na Serikali imeruhusiwa kuendelea kwa masharti ya kutojihusisha na mahubiri yanayolenga kupandikiza chuki miongoni mwa Wakristo na Waislamu. Serikali pia...
View ArticleEAC YAINGILIA KATI MZOZO WA TANZANIA NA RWANDA
Wakati Tanzania ikisema kuwa iko tayari kukaa meza moja na jirani yake Rwanda kumaliza hali ya uhasama iliyoanza kujitokeza katika siku za hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya...
View ArticleMADIWANI WALIOTIMULIWA BUKOBA WARUDSHWA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imejadili na kutolea maamuzi pamoja na mambo mengine suala la Madiwani wanane waliotangazwa kufukuzwa uanachama na Halmashauri Kuu ya...
View Article"WABUNGE WENGI NI WAUZA UNGA NA MADAWA YA KULEVYA"....WILLIAM LUKUVI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amesema baadhi ya majina ya wabunge yametajwa miongoni mwa watu wanaoshukiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya...
View ArticleMWANAUME ALIYEKIRI KUCHANGIA MKE NCHINI KENYA ATIMULIWA KAZI....
Mwanaume wa nchini Kenya ambaye aliridhia kusaini mkataba wa kuchangia mwanamke mmoja na mwanaume mwenzake amefukuzwa kazi na bosi wake. Mwanaume huyo Sylvester Mwendwa, ambaye mwishoni mwa wiki...
View ArticleCAG ADAI KWAMBA MAGUFULI SIYO FISADI.....ATOA UFAFANUZI WA KINA KUHUSU ZILE...
MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema taarifa ya Sh bilioni 252 zilizokuwa zimeoneshwa katika taarifa ya Wizara ya Ujenzi, zilihamishwa kwenda Wakala wa...
View ArticleKAGAME HATAKANYAGA TENA ARDHI YA TANZANIA.....WABUNGE WA RWANDA WASUSA JIJINI...
RAIS Paul Kagame wa Rwanda, sasa hayupo tayari kukanyaga ardhi ya Tanzania kutokana na kile kinachoonekana kuwa ni mgogoro wa kidiplomasia unaoendelea kati yake na Rais Jakaya Kikwete. Wakati hayo...
View ArticleAUNT EZEKIEL APIGWA CHUPA USIKU AKIWA CLUB
MWIGIZAJI wa sinema za kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ amenusurika kupasuliwa paji la uso kwa chupa baada ya kupigwa mkononi... Usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas,...
View ArticleRAY C AANZA KUKIRUTUBISHA KIUNO CHAKE....HIZI NI PICHA 3 AKIWA GYM
Zaidi ya sauti yake na uwezo mkubwa wa kuimba nyimbo zinazoshikika kiurahisi, umaarufu wake mwingine mkubwa toka enzi hizo ni kiuno bila mfupa kwa jinsi alivyokua akicheza nacho.Huu ni uwezo uliofanya...
View Article"FAMILIA IMENITENGA BAADA YA KUOA ALBINO'...MUME
KIJANA aitwaye Priscus Mushi, mkazi wa Mbezi jijini Dar ambaye ni muumini wa Kanisa la Efatha linaloongozwa na Mchungaji Josephat Mwingira ameanika masikitiko yake baada ya kutengwa na baadhi ya ndugu...
View ArticleBASI LA HOOD LAUA MTU MMOJA NA KUJERUHI 15
Mtu mmoja amefariki dunia na 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hood likitokea kilombero kwenda jijini Dar es salaam kumgonga mtembea kwa miguu na kisha kuacha njia na kupinduka katika...
View ArticleSHEIK PONDA AFIKISHWA MAHAKAMANI TENA.....KESI YAAAHIRISHWA HADI SEPTEMBA 11
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda jana alisababisha kusimama kwa shughuli za Serikali wilayani Morogoro baada ya ofisi kadhaa ikiwamo ya Mkuu wa Wilaya na baadhi ya...
View ArticleWABUNGE WA TANZANIA NAO WASUSIA KIKAO CHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Kikao cha Bunge la Afrika Mashariki (EALA), jana kilivunjika kwa mara ya pili baada ya Wabunge wa Tanzania, kutoka ndani ya ukumbi wakipinga kanuni kuvunjwa juzi. Baada ya wabunge wa Tanzania kutoka...
View ArticleVIDEO YA MTOTO WA MIAKA 14 ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WATATU....
Kwa kawaida miaka 14 inafaa kuwa ndio unafurahia ujana na utoto wako. Lakini sivyo kwa msichana mmoja huko Bungoma, ambaye sasa ni mzazi, na si wa mtoto mmoja, bali watoto watatu, aliojifungua kwa...
View ArticleVIDEO YA UCHI YA MRISHO NGASA AKIWA NA MDOGO WAKE FLORAH MBASHA GESTI YAVUJA
<!-- adsense --> Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka, Taifa Stars na mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, ameingia kwenye scandal nzito baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja mtandaoni. Mkanda huo...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA ATAKA MBOWE NA DR. SLAA WAKAMATWE KWA MAUAJI YA RAIA
MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), amechafua hali ya hewa bungeni kwa kuitaka Serikali kuwachukuliwa hatua viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbunge huyo...
View ArticleUPDATE: MAJAMBAZI YALIYOVAA SARE ZA POLISI YAVAMIA HABIB AFRIICAN BANK NA...
Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha. Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha...
View ArticleTRAFFIKI FEKI ALIYEKAMATWA HIVI KARIBUNI ALIKUWA NI MFUNGWA WALIYETOROKA...
MAZITO tena yameibuka kuhusu yule trafiki feki James Hussein, mkazi wa Kimara Matangini, jijini Dar es Salaam ambaye yuko Gereza la Segerea, Dar akikabiliwa na kesi ya kujifanya askari wa usalama...
View ArticleRAY C AOKOKA RASIMI...HIZI NI PICHA ZAKE AKIBATIZWA
Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za bongo fleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Ray C amethibitisha hayo katika post zake za instagram.
View Article