Zaidi ya sauti yake na uwezo mkubwa wa kuimba nyimbo zinazoshikika
kiurahisi, umaarufu wake mwingine mkubwa toka enzi hizo ni kiuno bila
mfupa kwa jinsi alivyokua akicheza nacho.Huu ni uwezo uliofanya mpaka
maneno ya kiuno bila mfupa yakapata umaarufu kupitia yeye.
Siku kadhaa baada ya kutangaza kurudi kwenye muziki kama zamani,
Ray C akiwa ametoka kwenye matibabu ya matumizi ya dawa
↧