MWIGIZAJI wa sinema za kibongo, Aunt Ezekiel Grayson
‘Gwantwa’ amenusurika kupasuliwa paji la uso kwa chupa baada ya kupigwa
mkononi...
Usiku wa kuamkia
Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas, mwanamke aliyejulikana kwa jina
moja la Yvonne alimpiga Aunt kwa chupa tupu ya bia na kumpasua mkono wa
kushoto.
Watu walioshuhudia tukio hilo wamedai kuwa,
wakati Yvonne anatekeleza ukatili
↧